Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Mswanya(katikati) kushoto ni Meneja wa Tigo 4G LTE Benedict Mponzi na Meneja wa Tigo Kanda ya Ziwa Edgar Mapande,wakionyesha kwa waandishi wa habari jjijini Mwanza jana,line za Tigo 4G LTE,wakati wa kutambulisha upatikanaji wa huduma hiyo Mkoani Mwanza. |
Comments