Sunday, March 20, 2016

OLE SENDEKA ATANGAZWA RASMI LEO KUWA MSEMAJI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM


Chama cha Mapinduzi CCM leo kimemtangaza Christopher Ole Sendeka kuwa msemaji mpya wa CCM kuanzia leo.Sendeka ametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana mbele ya Waandishi wa Habari jijini Dar.Pichani Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Ndugu Nape Nnauye ambapo kwa sasa Olesendeka pichani kati ndiye ameishika nafasi hiyo.Taarifa kamili itawajia baadae kidogo.


No comments:

DKT. KIJAJI AUNGANA NA RAIS SAMIA KUPANDA MITI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, leo tarehe 27 Januari 2027, ameungana na Rais wa Jamhuri...