Saturday, March 12, 2016

SPIKA AKUTANA NA WABUNGE KUTOKA UJERUMANI

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen. Anayeshuhudia kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson.Wabunge hao walimtembelea Spika ofisini kwake  Jijini Dar es Salaam

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi Kutoka kwa Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen. Wabunge hao walimtembelea Spika ofisini kwake  Jijini Dar es Salaam
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Kiongozi wa Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen (wa pili kushoto) waliomtembelea Spika ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson na wa Kwanza kushoto ni Balozi wa Ujerumani nchini Bw. Egon Kochake.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen waliomtembelea Spika ofisini kwake  Jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia wa kwanza kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson na wa Kwanza kushoto ni Balozi wa Ujerumani nchini Bw. Egon Kochake.
Spika wa Bunge (wa pili kutoka kulia kwa walio kaa) akiwa katika picha ya Pamoja na Wabunge la Ujerumani waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson, Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen na Balozi wa Ujerumani nchini Bw. Egon Kochake.(Picha na Ofisi ya Bunge)
Post a Comment