Saturday, March 26, 2016

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA BUNGE LA ISRAEL

16Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na  Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot (wa kwanza kulia) aliyemtembelea Ofisini kwake leo tarehe 26 Machi, 2016,Jijini Dar es Salaam.
17Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot  aliyemtembelea Ofisini.
18  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot  aliyemtembelea Ofisini.20Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Mzee Ibarahim Kaduma ambaye ni Mweyekiti wa Kingdom Leadership Network Tanzania (KLNT). Mzee Kaduma aliambatana na Ujumbe wa Israel uliomtembelea Spika ambao ndio wafadhili wa KLNT.
19Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bunge la Israel, Ronen Plot  na viongozi wengine waliombatana na ujumbe huo.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
Post a Comment