Wednesday, March 09, 2016

WAZIRI UMMY MWALIMU AONGOZA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI JIJINI DAR ES SALAAM


Waziri wa Afya,Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya Biafra  jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Dk.Hamis Kigwangalla akitoa maelezo ya ushiriki wa Mbunge wa Njombe Kusini, Edward Mwalongo kwa kupaza sauti katika bunge juu ya  mtoto wa kike kupewa dhana  ya kujikinga wakati wa hedhi ili aweze kusoma katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya  Biafra jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya,Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akimkabidhi tuzo Mbunge wa Njombe Kusini, Edward Mwalongo kwa kwa kupaza sauti katika bunge juu ya  mtoto wa kike kupewa dhana  ya kujikinga wakati wa hedhi ili aweze kusoma katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya  Biafra jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu  akimkabidhi hundi ya sh.milioni tano, Dereva wa Bodaboda, Sikudhani Daudi zilizotolewa na Benki ya DCB ikiwa na lengo ya kukuza biashara katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja vya  Biafra jijini Dar es Salaam.  


  Wanawake kutoka Shirika la Nyumba la Taifa wakishiriki katika maandamano ya siku ya wanawake iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. 

  Wanawake kutoka Shirika la Nyumba la Taifa wakishiriki katika maandamano ya siku ya wanawake iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. 

  Wanawake kutoka Shirika la Nyumba la Taifa wakishiriki katika maandamano ya siku ya wanawake iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. 

Wanawake kutoka Kampuni ya Magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspaper (TSN) Limited na Standard Printer wachapishaji wa magazeti ya Daily News, Sunday News, Habari Leo na Habarileo Jumapili pamoja na gazeti la Spoti Leo wakishiriki katika maandamano ya siku ya wanawake iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 

Wanawake kutoka Kampuni ya Magazeti ya Serikali ya Tanzania Standard Newspaper (TSN) Limited na Standard Printer wachapishaji wa magazeti ya Daily News, Sunday News, Habari Leo na Habarileo Jumapili pamoja na gazeti la Spoti Leo wakishiriki katika maandamano ya siku ya wanawake iliyofanyika jijini Dar es Salaam

Wanawake katika vikundi vilivyopata mkopo katoka kwa benki ya DCB wakiwa katika picha ya pamoja na hundi zao jana katika siku ya maadhimisho ya siku ya wanawake Mkoa wa Dar es Salaam yaliyofanyika katika viwanja Biafra .

No comments: