WANANCHI WA CHATO WAJITOKEZA KWA WINGI KUMLAKI RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo.

 Wakazi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoa wa Geita,wakiwa wamekusanyika kwa wingi wakisubiri kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ambaye amewasili leo mjini humo alikozaliwa.Rais Dkt Magufuli anawasili wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu awe Rais.
 Wanannchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumpokea mtoto wa nyumbani kwao Chato,Mh Rais Dkt.John Pombe Magufuli viwanja vya Mjini Chato mkoani Geita muda huu. Hii ni mara ya kwanza kufika chato tangu awe Rais.

Comments