Monday, March 21, 2016

MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR

SH1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipokea cheti maalum cha Ushindi wa Uchaguzi wa marudio kutoka Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
SH2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akionesha Cheti maalum cha Ushindi baada ya kukabidhiwa   Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
SH3Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akisalimiana na Wagombea wa Vyama vya Siasa baada ya kutangazwa mshindi jana na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
SH4Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad Rashid  baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
SH6Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapindiuzi (CCM) na Wananchi na Vyma vya Upinzani waliohudhuria katika hafla ya utolewaji wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Marudio katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana,
SH7Viongozi mbali mbali wa CCM na vyama vya upinzani wakishuhudia matokeo ya uchaguzi Mkuu wa marudio yaliyotolewa jana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha (hayupo pichani) katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
SH8Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakishangilia kwa makofi wakati alipotangazwa kuwa mshindi naMwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha jana katikaukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
SH9Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakipongezwa  na Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo  Bw,Khamis  Iddi Lila  (wa pili kulia) baada ya kutangazwa mshindi wakati matokeo ya uchaguzi huo  jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
SH10Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipongezwa  na Watoto wake  baada ya kutangazwa mshindi wakati wa matokeo ya uchaguzi huo  jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
SH11Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ADC Bw,Hamad Rashid Mohammed akitoa shukurani kwa niaba ya Vyama mbali mbali vilivyoshiriki uchaguzi wa marudio  baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha  jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
SH12Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Uongozi kupitia CCM akipongezwa na  Mgombea wa Urais kupitia Chama cha AFP Said Soud Said  baada ya kutangazwa mshindi na kukabidhiwa Cheti rasmi cha ushindi na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha wakati wa utoaji wa  matokeo ya uchaguzi huo yaliyotolewa jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,
SH13Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha alipokuwa akitangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa marudio jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,ambapo Mgombe wa Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein kaibuka kushinda uchaguzi huo,
[Picha na Ikulu.]
Post a Comment