Friday, March 18, 2016

NHC YATAMBULISHA BIDHAA YAKE YA NYUMBA KWA MABENKI

Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Pius Tibazarwa akizungumza na maafisa mbalimbali wanaohusika na mikopo ya nyumba kutoka benki mbalimbali 16 nchini ambazo zimesaini mkataba na Shirika la Nyumba la Taifa lengo ni kuwafanya wataalamu hao wajionee nyumba zinazojengwa na NHC na hatua zilizofikia ili kuwa na ufahamu wa kutosha pindi wateja wanapowafikia, walitembelea miradi ta Eco Residence, Morocco Square, Victoria Place na Kawe 711

 Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Juliana Mataba akizungumza jambo kwenye kikao hicho.
  Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Joseph Haule akizungumza jambo kwenye kikao hicho.
   Afisa kutoka benki akizungumza jambo kwenye kikao hicho.

    Afisa kutoka benki akizungumza jambo kwenye kikao hicho.
 Meneja Makusanyo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Levinico Mbilinyi akizungumza jambo kwenye kikao hicho.

Kikao kikiendelea
Post a Comment