Wednesday, March 23, 2016

WAZIRI LUKUVI ATEMBELEA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa ambapo pamoja na mambo mengine ameagiza mambo makuu manne yakiwamo kutopandisha kodi ya nyumba za Shirika bila idhini yake, kutoendelea na miradi mikubwa ya biashara mpaka ile iliyoanza ikamilike, kutotekeleza muundo mpya wa Menejimenti na kuagiza kujenga nyumba 50,000 za gharama nafuu.

No comments:

RAIS SAMIA AKUTANA NA WAZEE WA MIKOA YOTE NCHINI, AFUNGUA UKURASA MPYA WA MAZUNGUMZO YA KITAIFA

  Dodoma, Agosti 27, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na wazee wa Mkoa wa Dodoma pam...