Monday, March 14, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKABIDHIWA TUNZO YA MSANII BORA AFRIKA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza
na Wasanii wa Film wa hapa Nchini baada ya kukabidhiwa 
 Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East
Afrika (AMVCA)
  na Tunzo ya Kiswahili Afrika iliyofanyika Nchini Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika leo March 14,2016  Oysterbay Dar es salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea
Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili East Afrika (AMVCA) iliyofanyika
Nchini Nigeria kutoka kwa mshindi wa Film hiyo Msanii Elizabeth Michael (Lulu)
wakati wa hafla fupi iliyofanyika Oysterbay Dar es salaam leo March 14,2016.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea
Tunzo ya mshindi Bora wa Film ya Kiswahili Afrika iliyofanyika Nchini Nigeria
kutoka kwa mshindi wa Film hiyo Msanii Single Mtambalike (RICHIE) wakati wa
hafla fupi iliyofanyika Oysterbay Dar es salaam leo March 14,2016.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika
picha ya pamoja na wasanii wa Filamu Nchini Single Mtambalike (RICHIE) na
Elizabeth Michael (LULU) baada ya kupokea Tunzo za wasanii hao walizoshinda Nchini
Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika leo March 14,2016
 Oysterbay Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katikati akiwa
katika picha ya pamoja na wasanii wa Filamu Nchini Single Mtambalike (RICHIE)
na Elizabeth Michael (LULU) na Wasanii wengine baada ya kupokea Tunzo za
wasanii hao walizoshinda Nchini Nigeria, hafla hiyo iliyofanyika leo March
14,2016  Oysterbay Dar es salaam.
(Picha na OMR
Post a Comment