Monday, October 05, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima  katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.

No comments:

DKT. ABBASI AKAGUA MIRADI YA UTALII PORI LA AKIBA LA PANDE, ATOA MAAGIZO YA KUKAMILIKA KABLA YA AFCON 2027

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Julai 23, 2026, ametembelea Pori la Akiba la Pande jijini Dar es Salaa...