Tuesday, October 06, 2015

KAMPUNI YA TIGO YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

1
 Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Makumbusho, Gissela Akaro akimkabidhi mteja waTigo, Gideon Mapunda mkazi wa Mbezi Luis fulana ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.
4
3
Mtaa lamwa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerr ya kiongea na wafanyakazi na wateja waTigo mara baada ya ufunguzi waduka la Tigo lililokarabatiwa makao makuu yaTigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.
6
Mtoa huduma ya ufundi wa Intaneti yaTigo, Gloria Minja akitoa huduma kwa wateja katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
5   2
7
Sehemu ya wateja waTigo wa kipata huduma.
Post a Comment