Saturday, October 10, 2015

WATUMISHI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII, UWAJIBIKAJI NA USHIRIKIANO

8

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza na waaandishi wa vyombo vya habari wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wastaafu waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma kwa mujibu wa sheria. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
PICHA NA ISMAIL NGAYONGA-MAELEZO DAR ES SALAAM
1
Naibu Katibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Seth Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
2
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa Umma aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, ambaye amestaafu aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Bi. Rose Lugembe wakati wa kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
3
 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa Umma aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, ambaye amestaafu aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Bw. Mohamed Muya wakati wa kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
4
 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa Umma aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, ambaye amestaafu aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Mhandisi Christopher Sayi wakati wa kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
5
 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti cha Utumishi wa Umma aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, ambaye amestaafu aliyestaafu kwa mujibu wa sheria , Bw. Seth Kamuhanda wakati wa kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Post a Comment