Friday, October 09, 2015

WASHINDI WA SHINDANO LA “JIONGEZE NA MSHIKO” WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

 Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Ezekiel Mashita  kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”.
 Meneja mauzo wa Airtel bwana Pascal Bikomagu.(kulia)  akimpongeza bwana Oswald Marandu (kushoto) kutoka Kilimanjaro, baada ya kuibuka mshindi   katika droo ya kumi na moja ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na kujishindia shilingi milioni moja. 
Post a Comment