Thursday, October 08, 2015

SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI (TAMICO)

 Picha ya Pamoja viongozi wa Tamico wa NHC toka kwenye mikoa yote Tanzania
 Viongozi wa Semina kwenye meza kuu, katikati ni Mwenyekiti wa semina Macely Kibera, katibu wa semina jackline Kilawe pamoja na viongozi wa makao makuu Lillian Reuben na Idd Kitete
 Mwenyekiti kiongozi wa semina Macely Kibera akichangia hoja kwenye semina inayoendelea mjini Tanga
 Baadhi ya wajumbe wakisikiliza mada toka kwa mwasilishaji katika semina ya viongozi wa Tamico NHC.

 Baadhi ya wajumbe kuimba wimbo ya mshikamano daima katika semina ya viongozi wa Tamico NHC

 Baadhi ya wajumbe wakisikiliza mada toka kwa mwasilishaji katika semina ya viongozi wa Tamico NHC.
 Baadhi ya wajumbe wakisikiliza mada toka kwa mwasilishaji katika semina ya viongozi wa Tamico NHC.
 Baadhi ya wajumbe wakisikiliza mada toka kwa mwasilishaji katika semina ya viongozi wa Tamico NHC.
 Baadhi ya wajumbe wakisikiliza mada toka kwa mwasilishaji katika semina ya viongozi wa Tamico NHC.
 Baadhi ya wajumbe wakijiandaa kuimba wimbo ya mshikamano daima katika semina ya viongozi wa Tamico NHC
Mjumbe wa Tamico toka makao makuu, Jackline Kilawe akichangia mada katika semina ya viongozi wa Tamico NHC.
Post a Comment