Saturday, October 10, 2015

PINDA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM KALAMBO

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kalambo kwa tiketi ya CCM, Josephat Kandege katika mkutano wa kampeni a CCM aliouhutubia katika kijiji cha Samazi  mkoani Rukwa Oktoba 9,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na  Waziri MKuu, Mizengo Pinda  akihutubia mkutano wa kampeni za CCM katika kijiji cha Samazi  mkoani Rukwa Oktoba 9,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Post a Comment