Wednesday, October 07, 2015

MWIGULU NA JANUARY MAKAMBA BUMBULI

Mwigulu Nchemba na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Bumbuli Mh. January Makamba wakiwasili Kata ya Usambara kwaajili ya Mkutano wa hadhara wa kampeni .
Wajumbe wa timu ya Kampeni ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi wakiteta Jambo.
January Makamba akimsikiliza Mwananchi wake kwa Makini.
Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Funta.
Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa kata ya Tamota wakati wa kuomba kura za Urais,Ubunge na Udiwani kwa Chama cha Mapinduzi hii leo Jimbo la Bumbuli.
January Makamba akizungumza na Wananchi wake namna alivyotekeleza ahadi zake zilizopita na anavyokwenda kusimamia ilani ya Uchaguzi kwa miaka 5 ijayo kwa wananchi wa kata ya Tamota.Moja ya jambo kubwa la kimaendeleo kwa kata ya Tamota ni kupata umeme uliofika makao makuu ya kata hiyo.,
Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Mbonde hapa Bumbuli.
January Makamba For Bumbuli.
Picha na Sanga Festo Jr.
Post a Comment