Friday, October 02, 2015

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM KIWANI PEMBA

SH1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea,[Picha na Ikulu.]
SH2
/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea,[Picha na Ikulu.]
SH3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Ilani ya Chama kwa wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea,[Picha na Ikulu.]
SH4
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC Ali Abeid Karume akiwasalimia wanachama na wananchi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo na kuwaombea kura wagombea nafasi za Uongozi Viongozi wa Cahama cha Mapinduzi Kuanzia Urais wa Zanzibar,Urais  wa Tanzaniaakiwemo Mgombea mwenza,Wabunge,Wawakilishi na madiwani,[Picha na Ikulu.]
SH5
Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Mpira Jimbo la Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]
SH6

Post a Comment