Friday, October 02, 2015

EDWARD LOWASA NA KAMPENI ZAKE DAR ES SALAAM

Waangalizi
kutoka Jumuiya ya Ulaya EU wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea
urais wa Chadema uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Yanga jana majira ya saa tano asubuhi, mgombea huyo anaungwa mkono na vyama vinne vya Chadema, CUF,
NCCR-Mageuzi na NLD. (Picha na Francis Dande)

 Tambwe Hiza akihutubia katika mkutano huo.
 Mgombea ubunge jimbo la Temeke, Abdalah Mtolea.
 Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam.
  Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akihutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam.
Umati wa watu ukiwa katika mkutano huo.
 Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na umoja wa vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, Edward Lowassa akihutubia umati wa watu uliojitokeza jana majira ya saa tano asubuhi katika viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.
 Mgombea urais wa
Chadema anayeungwa mkono na umoja wa vyama vya Chadema, CUF,
NCCR-Mageuzi na NLD, Edward Lowassa akihutubia umati wa watu
uliojitokeza jana majira ya saa tano asubuhi katika viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.
Post a Comment