Wednesday, October 07, 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA



L
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, leo Oct 07, 2015 katika ukumbi wa Karimjee jiji Dar es salaam.
8
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ndugu na Jamaa wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, wakati wa kuaga mwili leo Oct 07, 2015 katika ukumbi wa Karimjee jiji Dar es salaam.

T
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana  na ndugu na Jamaa wa Mwenyekiti wa Chama cha DP Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila, wakati wa kuaga mwili leo Oct 07, 2015 katika ukumbi wa Karimjee jiji Dar es salaam.(Picha na OMR)

No comments:

DKT. ABBASI AKAGUA MIRADI YA UTALII PORI LA AKIBA LA PANDE, ATOA MAAGIZO YA KUKAMILIKA KABLA YA AFCON 2027

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, leo Julai 23, 2026, ametembelea Pori la Akiba la Pande jijini Dar es Salaa...