Monday, August 17, 2015

TAARIFA YA MSIBA


UONGOZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LINASIKITIKA KUWATAARIFU KIFO CHA NDUGU AMANDUS A. MDEMU ALIYEKUWA INTERN KITENGO CHA MANUNUZI  MAKAO MAKUU KILICHOTOKEA JANA TAREHE 16/08/2015 DAR ES SALAAM.

MWILI WA MAREHEMU UMESAFIRISHWA KWENDA KWAO KILOSA, MKOA WA MOROGORO KWA MAZISHI YATAKAYO FANYIKA KESHO TAREHE 18/08/2015.

MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
AMIN


IMETOLEWA NA KURUGENZI YA RASILIMALI WATU
Post a Comment