MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AKUTANA NA MABALOZI WATEULE LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt. Gen. Charles Lawrence Makakala na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mkwawa Kasyanju wakati Mabalozi hao kwa pamoja walipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja naBalozi mteule wa Tanzania Nchini Zimbabwe Lt. Gen. Charles Lawrence Makakala na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mkwawa Kasyanju wakati Mabalozi hao kwa pamoja walipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo (Picha na OMR) 

Comments