DK.SHEIN ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

 Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema  Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama  kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo.

 Wananchi wa manispaa ya Mji wa zanzibar waliofirika katika kumshindikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar   kabla ya  kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo.

 Wapanda mapikipiki waliojitokeza kumshindikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika maeneo ya Michenzanni Mjini Zanzibar   kabla ya  kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo,[Picha na Ikulu.]

Comments