Wednesday, August 26, 2015

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA MAJAJI NA MAHAKIMU WA AFRIKA MASHARIKI

 x2
Rais Kikwete akifungua Mkutano  wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Mwanza.
x3
Baadhi ya washiriki wa Mkuano huo.
x1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki.
(Picha na Freddy Maro)

No comments:

WANANCHI KAHAMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAFIKISHIA UMEME WA REA

  📌Vijiji vyote 246 na Vitongoji 479 Kahama vimefikiwa 📌Shughuli za kiuchumi na kijamii zimeimarika 📌Naibu Waziri Salome awahakikishia vi...