Friday, August 21, 2015

MKUTANO WA MILLIWARDBROWN NA WADAU WA MASOKO NA VYOMBO VYA HABARI

mz1
 Mkurugenzi Mtendaji  kanda ya Afrika na Kati kutoka Millard Brown  Charles Foster  akiwasilisha utafiti kuhusu teknolojia ya  matangazo kwa bara la Afrika wakati wa semina na wadau wa  vyombo vya habari,kampuni za matanganzo na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam.
mz2
Mkuu wa Masuala ya Habari  kutoka MillwardBrown Anderzej Suski akijibu baadhi ya masuali kutoka kwa wajumbe wakati wa mkutano wa masuala ya masoko ,matangazo na vyombo vya habari leo jijini Dar es Salaam.
mz3
Wadau na wataalamu wa masuala ya masoko na matangazo wakishiriki katika mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na watoa mada wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau hao leo jijini Dar es Salaam.
mz6
Wadau na wataalamu wa masuala ya masoko na m atangazo wakifuatili mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na watoa mada wakati wa mkutano uliowakutanisha wadau hao leo jijini Dar es Salaam.
Post a Comment