Sehemu ya Wafuachi wa CHADEMA na Vyama vinge vinavyounda UKAWA wakiupokea msafara wa Mgombe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ulipokuwa ukiwasili Mafinga Mjini, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Chama hicho, Agosti 30, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, IRINGA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwapumbia maelfu ya wananchi wa Mji wa Mafinga, Wilayani Mufindi Mkoani Iringa, waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Waziri wa zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015, kuliofanyika Mkutano wa Kampeni zake.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Waziri wa zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015, kuliofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Sehemu ya Umati wa wananchi wa Mji wa Mafinga Wilayani Mufindi, wakionyesha fuaha yao kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, katika Mkutano wa Kampeni za Chama hicho, Agosti 30, 2015.
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mh. Lawrence Masha akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015.
Waziri wa zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa jana Agosti 30, 2015.
Waziri Mkuu wa Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa jana Agosti 30, 2015.
Waziri Mkuu wa Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akimuonyesha jambo, Waziri wa zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, William Joseph Mungai, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa jana Agosti 30, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwanadi kwa wananchi, Wagombea Udiwani katika Kata mbalimbali za Mji wa Mafinga.
Mh. Sumaye akiwaaga wananchi wa Mafinga Mjini.
Bi. Mkubwa huyu nae alikuwepo Mkutanoni hapo.
Umati wa Wakazi wa Mji wa Iringa Mjini ukiwa umefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Sabasaba Gangilonga, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Agosti 30, 2015.
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa akihutubia wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Agosti 30, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Iringa Mjini waliofurika kwenye Uwanja wa Sabasaba Gangilonga, Agosti 30, 2015. Katika Hotuba yake Mh. Lowassa alizungumzia namna atakavyotoa kipaumbele kwa wakulima ambapo amesema atafuta ushuru wa mazao kwa wakulima na kufuta kodi kwa vifaa vya michezo na burudani ili vijana waweze kunufaika na vipaji vyao.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba Gangilonga, Mkoani Iringa jana Agosti 30, 2015.
Umati wa Wakazi wa Mji wa Iringa Mjini ukiwa umefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Sabasaba Gangilonga, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, jana Agosti 30, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimsalimia kijana mwenye ulemavu (jina lake hakupatikana kwa haraka) aliyehudhulia Mkutano wa Kampeni ya Mgombea huyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba Gangilonga, Iringa Mjini, jana Agosti 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye.
Comments