Friday, August 28, 2015

DR JOHN POMBE MAGUFULI AOMBA KURA KYELA NA RUNGWE

  2
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa jimbo la Kyela kwa  wananchi wa mji Ipinda wilayani Kyela wakati alipofika katika mji huo kufanya mkutano wa kampeni, Dr. John Pombe Magufuli amewaomba wananchi wa Kyela kumpa kura za ndiyo Dr. Harrison Mkyembe ili  aweze kumtumia mara atakapochaguliwa na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-KYELA)
3
Mbunge wa zamani wa jimbo la Kyela Mzee John Mwakipesile akimpigia debe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli wakati mgombea huyo alipofika jimboni humo kuomba kura za wananchi ili wamchague kuwa rais.
5
Dr. Harrison Mwakyembe mbunge wa jimbo la Kyela akimpigia debe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika mji wa Ipinda Kyela.
6
7
8 91011121314 151617
18
19
Post a Comment