Sunday, August 23, 2015

CCM WAFUNIKA JANGWANI, DAR....JIONE MWENYEWE PICHA ZOTE HAPA ZA TUKIO LINAVYOENDELEA


Screen kubwa iliyofungwa jukwaani kwa ajili ya kutoa matukio live kwa walio mbali. 
 


Bendera za CCM zikiwa zimezunguka uwanjani hapo. 


 


Wanachama wa CCM wakishangilia mara baada ya kuwasili Jangwani. 


 


Wana CCM wakiingia kwa mbwebwe uwanjani. 


 


Bango kubwa la mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli likiwa pembezoni mwa viwanja vya Jangwani. 


 


Wanachuo mbalimbali wakiingia viwanja vya Jangwani. 


 


Msululu wa wanachama wa CCM wakiingia uwanjani.
Post a Comment