Monday, August 24, 2015

Jiji la Dar es Salaam linavyoonekana kutokea angani

Dar es Salaam ileeeee ya Upanga na Dar es Salaam ya huku Hananasif ni Dar es Salaam mbili tofauti kabisaaa hebu fanya comparison, hilo bonde la katikati ni lile linalolindwa kwa baraka za Baraza la Mazingira la Taifa (NEMC) bila hivyo hiyo miti yote ingekuwa ni majumba au vijumba tupu. PICHA ZOTE ZA MZEE WA MSHITU BLOG. 
 Dar es Salam ya Upanga ikisheheni vikwangua anga yaani Skyscrapers
  Dar es Salam ya Upanga ikisheheni vikwangua anga yaani Skyscrapers
 Hii ni Dar es Salaam ya upande wa Kariakoo kwa upande wa kulia unaweza kuliona eneo la jangwani maarufu kwa mikutano na majumuiko ya Kisiasa na Kiimani.
 Hiyo sasa ni maeneo ya Hannasif hadi upande wa Magomeni Mkwajuni jijini Dar es Salaam.
 Hiyo sasa ni maeneo ya Hannasif hadi upande wa Magomeni Mkwajuni jijini Dar es Salaam.
Post a Comment