Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) DK.Faustine Ndugulile akihutubia Mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mzimu Kata Vijibweni Kigamboni Dar es Sallam (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Wananchi wakifurahia alipokuwa akipanda jukwaani Mgombe ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM DK.Faustine Ndugulile
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Mgombea
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke na Mjumbe Halmashauri kuu Mkoa, Yahaya Sikunjema (kulia) akimkabidhi Ilani ya Chama hicho Mgombea nafasi ya Udiwani kupitia Chama hicho Zacharia Mkundi katika mkutano wa kampeni ulio fanyika Kata ya Vijibweni Dar es Sallam
Comments