Thursday, August 27, 2015

MKUTANO WA BAWACHA UKAWA MILLENIUM TOWER
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amezungumza na kina mama hao akiwataka kutumia haki yao ya kikatiba kumchagua mgombea wa UKAWA , Edward Ngoyai Lowassa awe rais, ametoa zawadi kuanzia sasa salamu itakuwa LOWASSA MABADILIKO, MABADILIKO LOWASSA na kwamba mkutano wa uzinduzi wa kampeni wa UKAWA viwanja vya Jangwani upo palepale na vibali vyote vimepatikana.

Post a Comment