KIKAO CHA KAMATI MAALUM CCM ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM wakati alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Uguja kuhudhuria katika Kikao cha Siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi Ofisi hiyo Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.]
x5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakiimba Wimbo wa Chama cha Mapinduzi kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibarkilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
x6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na  Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
x8
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  akitoa taarifa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
x9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,
x7
Wajumbe wa Sekteratieti ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakiwa katika kikao cha Siku moja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo,
x2
Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakipitia makabrasha ya  kikao hicho kabla ya kuanza leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,
x3
Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakipitia makabrasha yenye agenda za kikao  kabla ya kuanza hicho leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,
x4 
Wajumbe wa Kikao cha   Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakimkaribisha kwa makofi na kuimba wimbo wa Chama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,alipoingia katika ukumbi wa Kikao hicho kilichofanyika leo  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
     x10
Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar wakimsikiliza Mwenyekiti wa  kikao  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.

OFISI YA WAZIRI MKUU YAKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA YA MVUA YA MAWE NA UPEPO MWAKATA

1
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florens Turuka (mwenye miwani)  akimsikiliza Mkurugenzi wa  Halmashauri ya  Wilaya ya Msalala, Patrick Karangwa wakati alipokagua  ujenzi  wa nyumba za waathirika wa maafa Kijijini Mwakata, Kahama, tarehe 30 Agosti, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florens Turuka akimsikiliza mwenyekiti Kijiji cha Mwakata wilayani Kahama, Ezekieli Ramadhani akitafsiri kwa Kiswahili shukrani zizokuwa zikitolewa kwa kisukuma na Bi. Rugumba Msenga kwa serikali kumjengea nyumba  kutokana na  nyumba yake ya awali  kuathirika na maafa ya Mvua, wakati Katibu Mkuu huyo alipokagua ujenzi wa nyumba za waathirika hao zilizojengwa na SUMA JKT, tarehe 30 Agosti, 2015.

Comments