Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba jana wakati alipohudhuria katika Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam,
Picha zote na Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba jana wakati alipohudhuria katika Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bi.Naila Jidawi Mwakilishi wa Kampuni ya Pennyroyal inayojenga Mradi Mkubwa wa Kitalii wa aina yake katika Kijiji cha Matemwe Mbuyutende Kaskazini Unguja, kasha lililouzwa kwa shilingi za Kitanzania Million saba katika Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea fedha kutoka kwa Bi.Naila Jidawi Mwakilishi wa Kampuni ya Pennyroyal inayojenga Mradi Mkubwa wa Kitalii wa aina yake katika Kijiji cha Matemwe Mbuyutende Kaskazini Unguja, Dola za Kimarekani Elfu kumi katika Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Said Salim Bakhresa(katikati) na Bw.Azizi salim wakiwa ni miongoni mwa wachangiaji katika Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na viongozi wengine wakiwa katika chakula wakati wa uchangiaji wa Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na wananchi na wapenzi wa CCM waliohudhuria katika hafla ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana,chini ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Comments