Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC kwa kuendelea na semina,
leo kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma.
Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dk. Ali
Mohamed Shein na Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip
Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (PICHA ZOTE ZA BASHIR
NKOROMO@Nkoromo Blog, ukitaka kupata matukio kwa kina basi hebu bonyeza Ukitaka kumuona cheki Richard hebu Bonyeza hapa na Endelea
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC kwa semina iliyoanza jana, na kuendelea leo kwenye ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Pamoja naye ni Dk. Sheni na Kinana
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishauriana jambo na Katibu wa
NEC, Uchumi na Fedha Zakia Meghji, kabla ya kuanza kikao hicho leo.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC kwa semina iliyoanza jana, na kuendelea leo kwenye ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Pamoja naye ni Dk. Sheni na Kinana
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana
Comments
we will be given a receipt which will include your name and telephone number.
People had told me that I was courier insurance getting a good balance, correct portions and
calories. Older people in the early courier insurance
hours of Monday morning.
here at this blog, thanks admin of this website.
Also visit my webpage ... how to become a certified health and wellness coach