Skip to main content
Mkurugenzi Vodacom awatuza wafanyakazi bora
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania Bw.Rene Meza (kulia)akimkabidhi Abella Tarimo, Meneja biashara
wa Vodacom Tanzania zawadi ya ngao na cheti kwa kuwa mfanyakazi bora
katika kuunganisha idara zote kwa wakati na utendaji kazi kiufanisi.
Anaeshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya huduma kwa wateja
Harrieth Lwakatare.
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya
Masoko Vodacom Tanzania wakiwa wameshikilia hundi yao yenye thamani ya $
5,000 mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo
Bw. Rene Meza (wa pili kulia)kwa kuibuka wafanyakazi bora kwa mwaka
2012/13.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania Bw.Rene Meza wa saba toka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja
na wafanyakazi wa kitengo cha Jasiliamali watu mara baada ya zawadi ya
ngao na cheti wakati alipokuwa akikabidhi zawadi mbalimbali kwa
wafanyakazi bora wa kampuni hiyo.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya
Mawasiliano ya Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza,akiongea na wafanyakazi wa
kampuni hiyo wakati alipokuwa akikabidhi zawadi mbalimbali kwa
wafanyakazi bora wa kampuni hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom
Tanzania wakimsikiliza Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo hayupo
pichani akiongea nao wakati wa kukabidhi zawadi mbalimbali kwa
wafanyakazi bora wa kampuni hiyo.
Comments