Monday, February 04, 2013

CCM na Chadema watwangana makonde Dodoma





Hebu cheki ushabiki wa kisiasa ulivyochukua mwelekeo uliopitwa na wakati wa kupambana kwa kupigana makonde badala ya kupambana kwa hoja. Mungu tusaidie.

No comments:

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AMALIZA ZIARA YA SIKU MOJA MKOANI MBEYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), leo ameondoka Mkoani Mbeya baada ya kukamilisha zi...