Friday, February 08, 2013

Vijana wa kundi la Dar Theatre wapagawisha NHC Serena

 Wasanii wa kundi la Dar Theatre wakicheza ngoma hoteli ya Serena Weekend iloisha
 Wasanii wa kundi la Dar Theatre wakicheza ngoma maarufu ya Baikoko ya Tanga watu walipagawa si mchezo
 Waswahili husema utamu wa ngoma ni uingie ucheze
 Haya twende hapa ngoma ya Baikoko ikiwa imekolea
 Msanii huyu wa Dar Theatre alitia fora maana yake alijikunja kunja balaa, mara awekama nyoka yaani ni nomaaaa
 Enheeeee
 Sidhani kama mtu wa kawaida waweza kujikunja namna hiii ni sooo
 Kisha ikawa hivi
Hii ilikuwa ni party ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2013 wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , hafla iliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam (Picha za NHC)

No comments:

RAIS SAMIA AKUTANA NA WAZEE WA MIKOA YOTE NCHINI, AFUNGUA UKURASA MPYA WA MAZUNGUMZO YA KITAIFA

  Dodoma, Agosti 27, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na wazee wa Mkoa wa Dodoma pam...