Rais Kikwete Ashiriki Utiaji Saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Mpango wa
Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maal: umu iliyofanyika makao
makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 24,
2013
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon akiweka
saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano
katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maal: umu
iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 24, 2013
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa Dkt Nkosazana Clarice Dlamini-Zum a akisaini
Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu
iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 24, 2013
Rais Joseph Kabila wa DRC na Rais Paul Kagame wa Rwanda
wakibadilishana mawazo kwa furaha huku Rais wa Jamhuri ya Kongo
(Brazaville) Mhe Denis Sassou Nguesso akiwa kati yao baada ya wote kweka saini katika
Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu
iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi
Vuai Nahodha pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mhe Mahadhi Juma Maalim na wajumbe wengine wa ujumbe wa
Tanzania wakati wa uwekaji akiweka saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa
Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
wakati wa hafla hiyo maalumu iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika
mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 4, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Katibu Mkuu
wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-moon kwa kuwa mmoja wa viongozi wa bara
la Afrika walio mstari wa mbele kusimamia amani baada uwekaji akiweka
saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu
iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezana na Waziri Mkuu
wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn baada uwekaji akiweka saini
Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu
iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya
Umoja wa Mataifa Dkt Nkosazana Clarice Dlamini-Zum a
Rais wa Rwanda Paul Kagame akiisaini
Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu
iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 24, 2013
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon katika
picha ya pamoja na viongozi wa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya
uwekaji akiweka saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na
Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo
maalumu iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013.Picha na IKULU
Comments