Saturday, February 16, 2013

Seminari Kuu ya Kipalapala




Hivi ndivyo inavyonekana Seminari Kuu ya Kipalapala, Tabora kama inavyoonekana hivi karibuni kama ilivyokutwa na kamera ya mdau wetu, ndipo lilipo chimbuko kuu la maaskofu na mapadri wengi wa Katoliki nchini.

No comments:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ashiriki Kupiga Kura ya Maoni Jimbo la Ruangwa

  Ruangwa, Lindi – Agosti 4, 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) , ambaye pia ni aliyekuwa M...