Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini, (kulia) akimkabidhi
zawadi ya Kasha Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yussuf bin Alawi bin
Abdullah,akiwa kiongozi wa ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman,baada ya
hafla ya chakula maalum,kilichoandaliwa kwa ujumbe huo,katika Hoteli
ya Serena Mjini Zanzibar jana.

Baadhi ya Viongozi wa Ujumbe wa Nchini Oman na
Viongozi wa Taasisi mbali mbali hapa Zanzibar wakiwa katika hafla ya
chakula maalum kwa ujumbe wa wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa
na Waziri Yussuf bin Alawi bin Abdullah,(hayupo pichani) katika Hoteli
ya Serena Mjini Zanzibar jana.
Viongozi wa Taasisi mbali mbali hapa Zanzibar wakiwa katika hafla ya
chakula maalum kwa ujumbe wa wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa
na Waziri Yussuf bin Alawi bin Abdullah,(hayupo pichani) katika Hoteli
ya Serena Mjini Zanzibar jana.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman,Yussuf bin Alawi bin
Abdullah,akichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa kwa
ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa na Waziri Yussuf,katika
Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar jana.
Abdullah,akichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa kwa
ujumbe wa Serikali ya Watu wa Oman ulioongozwa na Waziri Yussuf,katika
Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar jana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,na Mawaziri wengine
walipoungana katika hafla ya chakula maalum kwa ujumbe wa wa Serikali
ya Watu wa Oman ulioongozwa na Waziri Yussuf bin Alawi bin
Abdullah,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar jana.

Viongozi wa Ujumbe wa Serikali ya Watu wa
Oman,wakichukua chakula wakati wa hafla maalum kilichoandaliwa kwa
ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar jana.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,(kushoto) akiwa na mgeni
wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yussuf bin Alawi bin
Abdullah,akiongoza ujumbe wake katika hafla ya chakula
maalum,kilichoandaliwa kwa ujumbe huo,katika Hoteli ya Serena Mjini
Zanzibar jana.

Comments