Meneja
masoko wa vinywaji vikali kutoka kampuni ya bia ya Serengeti Emillian
Rwejuna akiwaelezea wanahabari jinsi kampeni hiyo inayofanyika katika
supermarket mbalimbali huku akionyesha baadhi ya zawadi ambazo wapenzi
wa Baileys wanapata.
Mteja wa Baileys akijaribu bahati yake katika msimu wa valentine ndani ya supermarket ya Shoppers Plaza.
Katika picha ya pamoja Thomas Michelis akiwa na mke wake baada ya kumkabidhi ua kutoka Baileys ishara ya upendo
Thomas
Michelis akisoma kipeperushi na kupata maelekezo kutoka kwa balozi wa
kinywaji cha baileys katika supermarket ya Shoppers Plaza, kuhusu
kinywaji hicho na zawadi zinazotolewa katika msimu huu wa Valentine
Kampuni
ya bia ya Serengeti inaendelea kufanya kampeni maalumu kwa msimu wa
valentine kwa wapenzi wa kinywaji cha Baileys kwa kutoa zawadi
mbalimbali kwa wateja wao zawadi hizo zinatolewa katika supermarket za
Mlimani City, Uchumi na Shoppers Plaza kwa wale watakaonunua baileys
wanapata t-shirt, maua, chupa ya Baileys na kubwa zaidi ni kupata bahati
ya kula chakula cha jioni katika mgahawa wa kisasa wa Akemi uliopo
jijini Dar es Salaam.
Comments