Friday, February 15, 2013

MAMA SALMA KWENYE MSIMBA WA BABA WA HAWA GHASIA, MTWARA



Mama Salma Kikwete (kulia) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia alipofika nyumbani kwake katika kijiji cha Naumbu mkoani Mtwara jana kumpa pole kufuatia msiba wa baba yake Mzee Abdulrahman Ghasia, uliotokea jana na kuzika jana hiyo hiyo katika Kijiji cha Naumbu.

 Baadhi ya waombolezaji wakimfariji Waziri Hawa Ghasia
Wananchi wa Naumbu wakiwa eneo la Msiba.

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...