Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete akihutubia
maelfu ya wakazi wa mji wa Kigoma na vitongoji vyake hii leo wakati wa kilele
cha maadhimisho ya miaka 36 tangu kuzaliwa kwa CCM.
Pamoja na
mamombo Mengine, Rais Kikwete amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kitaendelea na
jitihada zake za kuisimamia Serikali ili itemize ahadi zake ilizoahidi, huku
yeye binafsi akisema kuwa anataka akimaliza muda wake wa uongozi akiache chama
hicho kikiwa na heshima na hata Rais ajae atoke ndani ya CCM.
Umati wa wakazi wa Mkoa wa Kigoma.
Mwenyekiti wa CCM, Ndugu Jakaya Kikwete ambaye pia ni Rais wa Tanzania akisalimia watu.
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harison
Mwakyembe akizungumzia mafanikio na mikakati ya sekta ya Usafiri hjasa
reli kwa wakazi wa Kigoma.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Nape Nnauye akizungumza jukwaani
Furaha ya mmoja wa wakazi wa mji wa Kigoma.
Huu ni ubunifu kwa jirani zetu wa Burundi kwa kulai fimbo za kupigia ngoma.
Kikosi cha Bendera kikipita mbele ya Mgeni rasmi.
Gwaride maalum la Vijana wa Chipkizi lilifanyika mbele ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Ndugu Jakaya Kikwete.
Mbunge Catherine Magige na viongozi wengine walikuwepoi uwanjani hapo.
Sura zenye matumaini ya jambo flani
Halaiki iliyo hudhuria
Bango la JK wa wili Jakaya Kikwete na Julius Kambarage
Wanahabari wa vyombo mbalimbali wakiwa kazini.
Kundi la Ngoma kutoka Burundi Mkoa wa Makamba likiburudisha
Msanii wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond' akitoa burudani uwanjani hapo. PICHA ZOTE NA HABARI ZA MROCKY MROCKY.
Comments