Tuesday, February 12, 2013

KUNRADHI WADAU WA FULLSHANGWE BLOG


Wadau wetu wa Fullshangweblog mtandao wetu hauko hewani toka jana kutokana na matatizo yaliyojitokeza wataalamu wetu wanafanya kila juhudi ili kutatua tatizo hilo kwa haraka iwezekanavyo tunawaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza wakati huu ambapo tunashughulikia tatizo hilo na wakati wowote tutarudi hewani 

Tunawaomba radhi pia wadau wetu benki za NMB, NBC, kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers, Bayport Financial, NHIF na Wilna International tunaomba uvumilivu wenu wakati tunashughulikia tatizo hilo.
By John Bukuku 
Mkurugenzi.

No comments:

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...