Kaimu Mkurugenzi wa GS1 Tanzania, Fatma Kange akizungumza wakati wa kikao cha tatu cha wadau wa GS1 Tanzania katika Hotel ya Blue Pearl,Ubungo Plaza,jana Feb,27,2013. |
Baadhi ya wadau waliohudhuria kikao hicho cha GS1 Tanzania. |
Makamu Mwenyekiti wa GS1 Tanzania,Yakub Hasham akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria kikao cha tatu cha washika dau na kikao cha pili cha mwaka cha GS1 Tanzania. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara,Joyce Mapunjo akifafanua jambo juu ya umuhimu wa Barcodes katika kuinua soko la bidhaa zetu. |
Salum Awadh akiwasilisha mpango mkakati wa GS1 Tanzania wa kipindi cha mwaka 2013-2018 kama Mtaalamu Mshauri ( Consultant) wa GS1 Tanzania. |
Mwenyekiti wa Amsha Institute of Rural Entrepreneur ,Biubwa Ibrahim Malengo akizungumzia mafanikio ya kikundi chake kutoka Lindi Vijijini. |
Waziri wa Viwanda na Biashara ,Abdallah Kigoda akimkaribisha Waziri Mkuu kufungua Kikao cha tatu cha washika dau katika Hotel ya Blue Pearl, Ubungo Plaza,jana,Feb 27,2013 |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia washika dau wa GS1 Tanzania jana |
Comments