Mwimbaji chipukizi wa kundi la Mashauzi Classic, Saida Mashauzi akiimba wimbo wa Nani Kama Mama wa dada yake, Isha katika onyesho la jana huku mashabiki wakimtuza |
Aisha Othman akiimba wimbo wa Acheni Kuniandama wa Isha Mashauzi katika onyesho hilo |
Watu hawalali hadi katikati ya wiki, wapenzi wa Mashauzi waliserebuka hadi 'majogoo' na leo kazini wataenda |
Shabiki wa Mashauzi akicheza kwa hisia wimbo wa Mama Mashauzi |
Jamaa sijui alikwenda kuchukua namba ya simu, wengine wanacheza kwa raha zao |
Saida Mashauzi akiimba Nani Kama Mama |
Hawa hawakutaka bughudha, walijitenga pembeni kabisa kucheza kwa raha zao |
Comments