Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh
(kushoto) na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Seriklai wa Sweden Jan
Lindahr Hjelmaker. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments