Meneja wa timu ya Cameroon, Rigobert Song (katikati) akiingia katika Ofisi za TFF wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen
akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam leo kuhusu pambano lao na timu ya Taifa ya Cameroon utakaopigwa
tarehe 6.2.2013.
Nahodha wa Stars, Juma Kaseja akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Kocha wa timu ya Taifa ya Cameroon, Jean
Paul akifafanua jambo. Kushoto ni Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song na
Nahodha wa timu hiyo, Pierre Wome.
Meneja wa timu hiyo, Rigobert Song akifafanua jambo wakati wa mkutano
na waandishi wa habari. Katikati ni kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean
Paul na nahodha, Pierre Wome
Meneja wa Cameroon, Rigobert Song
akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati
Kocha Mkuu wa timu hiyo, Jean Paul na nahodha, Pierre Wome . Picha na Dande Junior
Comments