Pichaa Mbili juu ni mwonekano wa sehemu ya juu kwenye mitambo ya
mawasiliano iliyopo katika chumba cha 11, kilichopo juu, mwisho kabisa
mwa jengo la minara ya PPF lililopo kwenye makutano ya Ohio/Garden
Avenue, katikati ya jiji la Dar es Salaam ikifuka moshii muda mfupi baada ya moto kuwaka
Mmoja wa askari wa zimamoto akitazama kwa makini moja ya sehemu uliyokua ikitoka moshi na moto kwenye mitambo ya
mawasiliano iliyopo katika chumba cha 11, kilichopo juu, mwisho kabisa
mwa jengo la minara ya PPF lililopo kwenye makutano ya Ohio/Garden
Avenue, katikati ya jiji la Dar es Salaam
Kikosi cha Askari kikiwa eneola eneo la tukio ili kulinda mali zisiporwe au kuharibiwa na vibaka.
Watu mbalimbali wakiwa wamejaaa wakishangaa jinsi moto ukiwaka kwa juu kwenye sehemu ya juu kwenye mitambo ya
mawasiliano iliyopo katika chumba cha 11, kilichopo juu, mwisho kabisa
mwa jengo la minara ya PPF lililopo kwenye makutano ya Ohio/Garden
Avenue, katikati ya jiji la Dar es Salaam ikifuka moshii muda mfupi baada ya moto kuwaka leo asubuhi.
Comments