Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na Kiongozi wa Kanisa la Orthodox Pope Theodoros
II (wapili kushoto) mara baada ya kufanya mazungumzo na kiongozi huyo
ikulu jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Askofu wa Mwanza na Bukoba Askofu
Jeronymos. Nyuma ya Rais mwenye tai nyekundu ni mwenyekiti wa Hellenic
society of Tanganyika Dimitris Mantheakis, na kulia ni askofu mkuu wa
Dar es Salaam na mashariki askofu Dimistrious
Comments